Ash-Shuaraa 26:102 فلو ان لنا كرة فنكون من المومنين ١٠٢
فَلَوۡ
أَنَّ
لَنَا
كَرَّةٗ
فَنَكُونَ
مِنَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١٠٢
Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Tunatamani tupatiwe fursa ya kurudi ulimwenguni tupate kuwa miongoni mwa wenye kuamini na kuokolewa.»