Ash-Shuaraa 26:11 قوم فرعون الا يتقون ١١
قَوۡمَ
فِرۡعَوۡنَۚ
أَلَا
يَتَّقُونَ
١١
Watu wa Firauni. Hawaogopi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
nao ni watu wa Fir’awn na uwaambie wayaogope mateso ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka na waache ukafiri na upotevu walionao.