Ash-Shuaraa 26:110 فاتقوا الله واطيعون ١١٠
فَٱتَّقُواْ
ٱللَّهَ
وَأَطِيعُونِ
١١٠
Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi jihadharini na mateso Yake na mnitii mimi kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake.»