Ash-Shuaraa 26:112 قال وما علمي بما كانوا يعملون ١١٢
قَالَ
وَمَا
عِلۡمِي
بِمَا
كَانُواْ
يَعۡمَلُونَ
١١٢
Akasema: Nayajuaje waliyo kuwa wakiyafanya?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Nūḥ, amani imshukie, aliwajibu kwa kusema, «Sikupewa jukumu la kujua matendo yao. Jukumu nililopewa ni kuwalingania wao kwenye Imani. Na linalozingatiwa ni Imani, na sio cheo, ukoo, kazi na ujuzi wa sanaa.
Nūḥ, amani imshukie, aliwajibu kwa kusema, «Sikupewa jukumu la kujua matendo yao. Jukumu nililopewa ni kuwalingania wao kwenye Imani. Na linalozingati…