Ash-Shuaraa 26:114 وما انا بطارد المومنين ١١٤
وَمَآ
أَنَا۠
بِطَارِدِ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١١٤
Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na mimi si mwenye kuwafukuza wale wanaouamini ulinganizi wangu, namna itakavyokuwa hali yao, kwa kufuata matakwa yenu, ili mniamini.