Ash-Shuaraa 26:116 قالوا لين لم تنته يا نوح لتكونن من المرجومين ١١٦
قَالُواْ
لَئِن
لَّمۡ
تَنتَهِ
يَٰنُوحُ
لَتَكُونَنَّ
مِنَ
ٱلۡمَرۡجُومِينَ
١١٦
Wakasema: Ikiwa huachi, ewe Nuhu, bila ya shaka utapigwa mawe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo watu wa Nūḥ waliacha kubishana na wakaamua kutoa vitisho, hivyo basi wakamuambia, «Usiporudi nyuma, ewe Nūḥ, ukaacha huo ulinganizi wako, utakuwa ni miongoni mwa wenye kuuawa kwa kupigwa mawe.»
Hapo watu wa Nūḥ waliacha kubishana na wakaamua kutoa vitisho, hivyo basi wakamuambia, «Usiporudi nyuma, ewe Nūḥ, ukaacha huo ulinganizi wako, utakuwa…