Ash-Shuaraa 26:118 فافتح بيني وبينهم فتحا ونجني ومن معي من المومنين ١١٨
فَٱفۡتَحۡ
بَيۡنِي
وَبَيۡنَهُمۡ
فَتۡحٗا
وَنَجِّنِي
وَمَن
مَّعِيَ
مِنَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١١٨
Basi hukumu baina yangu na wao kwa hukumu yako, na uniokoe mimi na walio pamoja nami, Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
basi amua baina yangu na wao uamuzi wa kumwangamiza mwenye kukataa kukupwekesha na akamkanusha Mtume wako. Na uniokoe mimi, na Waumini walio pamoja na mimi, na adhabu utakayowaadhibu makafiri.»
basi amua baina yangu na wao uamuzi wa kumwangamiza mwenye kukataa kukupwekesha na akamkanusha Mtume wako. Na uniokoe mimi, na Waumini walio pamoja na…