Ash-Shuaraa 26:131 فاتقوا الله واطيعون ١٣١
فَٱتَّقُواْ
ٱللَّهَ
وَأَطِيعُونِ
١٣١
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Basi muogopeni Mwenyezi Mungu na mkifuate kile ninachowalingania, kwani hilo lina nafuu zaidi kwenu,