Ash-Shuaraa 26:132 واتقوا الذي امدكم بما تعلمون ١٣٢
وَٱتَّقُواْ
ٱلَّذِيٓ
أَمَدَّكُم
بِمَا
تَعۡلَمُونَ
١٣٢
Na mcheni aliye kupeni haya mnayo yajua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na mcheni Mwenyezi Mungu Aliyewapa aina mbalimbali za neema zisizofichika kwenu.