Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
026

Ash-Shuaraa 26:133 امدكم بانعام وبنين ١٣٣

26:133
أَمَدَّكُم
بِأَنۡعَٰمٖ
وَبَنِينَ
١٣٣
Amekupeni wanyama wa kufuga na wana. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Amewapa wanyama hawa: ngamia ng’ombe, mbuzi na kondoo, na Amewapa watoto,
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 26, Ukurasa 372, Juzuu 19

123. Kina A'd waliwakanusha Mitume. 124. Alipo waambia ndugu yao, Hud: Je! Hamchimngu? 125. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 126. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 127. Wala sikutakeni juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 128. Je! Mnajenga juu ya kila mnyanyuko kumbusho la kufanyia upuuzi? 129. Na mnajenga majengo ya fakhari kama kwamba mtaishi milele! 130. Na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari. 131. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 132. Na mcheni aliye kupeni haya mnayo yajua. 133. Amekupeni wanyama wa kufuga na wana. 134. Na mabustani na chemchem. 135. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya Siku Kubwa. 136. Wakasema: Ni mamoja kwetu, ukitupa mawaidha au hukuwa miongoni mwa watoao mawaidha. 137. Haya si chochote ila ni mtindo wa watu wa tokea zamani. 138. Wala sisi hatutaadhibiwa. 139. Wakamkanusha; nasi tukawaangamiza. Hakika bila ya shaka katika haya ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 140. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia