Ash-Shuaraa 26:137 ان هاذا الا خلق الاولين ١٣٧
إِنۡ
هَٰذَآ
إِلَّا
خُلُقُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٣٧
Haya si chochote ila ni mtindo wa watu wa tokea zamani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakasema, «Haikuwa dini hii tuliyonayo isipokuwa ni dini ya watu wa mwanzo na desturi zao,