Ash-Shuaraa 26:138 وما نحن بمعذبين ١٣٨
وَمَا
نَحۡنُ
بِمُعَذَّبِينَ
١٣٨
Wala sisi hatutaadhibiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na sisi si wenye kuadhibiwa kwa tunalolifanya katika yale ambayo unatuonya nayo ya adhabu.»