Ash-Shuaraa 26:149 وتنحتون من الجبال بيوتا فارهين ١٤٩
وَتَنۡحِتُونَ
مِنَ
ٱلۡجِبَالِ
بُيُوتٗا
فَٰرِهِينَ
١٤٩
Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na mnachonga kutoka kwa majabali majumba hali ya kuwa ni wamahiri wa kuyachonga, mkiwa na kiburi na majivuno.»