Ash-Shuaraa 26:151 ولا تطيعوا امر المسرفين ١٥١
وَلَا
تُطِيعُوٓاْ
أَمۡرَ
ٱلۡمُسۡرِفِينَ
١٥١
Wala msit'ii amri za walio pindukia mipaka,. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na msiandame amri ya wenye kuzidhulumu nafsi zao, waliokolea katika kumuasi Mwenyezi Mungu,