Ash-Shuaraa 26:153 قالوا انما انت من المسحرين ١٥٣
قَالُوٓاْ
إِنَّمَآ
أَنتَ
مِنَ
ٱلۡمُسَحَّرِينَ
١٥٣
Wakasema: Hakika wewe ni miongoni mwa walio rogwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa Thamūd walimwambia Nabii wao Ṣāliḥ, «Wewe hukuwa isipokuwa ni miongoni mwa wale waliofanyiwa uganga wa uchawi mwingi, mpaka uchawi ukaathiri akili yako.
Watu wa Thamūd walimwambia Nabii wao Ṣāliḥ, «Wewe hukuwa isipokuwa ni miongoni mwa wale waliofanyiwa uganga wa uchawi mwingi, mpaka uchawi ukaathiri a…