Ash-Shuaraa 26:154 ما انت الا بشر مثلنا فات باية ان كنت من الصادقين ١٥٤
مَآ
أَنتَ
إِلَّا
بَشَرٞ
مِّثۡلُنَا
فَأۡتِ
بِـَٔايَةٍ
إِن
كُنتَ
مِنَ
ٱلصَّٰدِقِينَ
١٥٤
Wewe si chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hukuwa wewe isipokuwa ni mmoja wa wanadamu unaofanana na sisi katika ubinadamu, basi vipi utakuwa tafauti na sisi kwa utume? Basi leta hoja wazi inayoonyesha kuwa utume wako umethibiti, iwapo wewe ni mkweli katika madai yako kwamba Mwenyezi Mungu Amekutumiliza kwetu.»
Hukuwa wewe isipokuwa ni mmoja wa wanadamu unaofanana na sisi katika ubinadamu, basi vipi utakuwa tafauti na sisi kwa utume? Basi leta hoja wazi inayo…