Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
026

Ash-Shuaraa 26:156 ولا تمسوها بسوء فياخذكم عذاب يوم عظيم ١٥٦

26:156
وَلَا
تَمَسُّوهَا
بِسُوٓءٖ
فَيَأۡخُذَكُمۡ
عَذَابُ
يَوۡمٍ
عَظِيمٖ
١٥٦
Wala ms!imguse kwa uwovu, isije ikakushikeni adhabu ya Siku Kubwa. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na msimguse kwa kitu chochote cha kumdhuru, kama kipigo au mauaji au mfano wake, kwani mkifanya hivyo, Mwenyezi Mungu Atawaangamiza nyinyi kwa adhabu ya Siku ambayo shida yake ni kubwa kwa sababu ya papatiko litakalotukia Siku hiyo na shida.
Na msimguse kwa kitu chochote cha kumdhuru, kama kipigo au mauaji au mfano wake, kwani mkifanya hivyo, Mwenyezi Mungu Atawaangamiza nyinyi kwa adhabu …
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 26, Ukurasa 373, Juzuu 19

141. Kina Thamud waliwakanusha Mitume. 142. Alipo waambia ndugu yao Swaleh: Je! Hamumchimngu? 143. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 144. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 145. Wala sikutakini ujira juu yake. Ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 146. Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo hapa? 147. Katika mabustani, na chemchem? 148. Na konde na mitende yenye makole yaliyo wiva. 149. Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi. 150. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 151. Wala msit'ii amri za walio pindukia mipaka,. 152. Ambao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi. 153. Wakasema: Hakika wewe ni miongoni mwa walio rogwa. 154. Wewe si chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli. 155. Akasema: Huyu ngamia jike; awe na zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa katika siku maalumu. 156. Wala ms!imguse kwa uwovu, isije ikakushikeni adhabu ya Siku Kubwa. 157. Lakini wakamuuwa, na wakawa wenye kujuta. 158. Basi ikawapata adhabu. Hakika katika hayo ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 159. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia