Ash-Shuaraa 26:157 فعقروها فاصبحوا نادمين ١٥٧
فَعَقَرُوهَا
فَأَصۡبَحُواْ
نَٰدِمِينَ
١٥٧
Lakini wakamuuwa, na wakawa wenye kujuta. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi wakamchinja ngamia, wakawa ni wenye kujuta kwa walilolifanya walipokuwa na uhakika kuwa watashukiwa na adhabu, na majuto yao yasiwafae kitu.