Ash-Shuaraa 26:160 كذبت قوم لوط المرسلين ١٦٠
كَذَّبَتۡ
قَوۡمُ
لُوطٍ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٦٠
Watu wa Luut'i waliwakanusha Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
watu wa Lūṭ waliukanusha utume wake, wakawa kwa hilo ni wakanushaji wa Mitume waliosalia, kwa kuwa lile walilolileta la kumpwekesha Mwenyezi Mungu na misingi ya Sheria ni moja.
watu wa Lūṭ waliukanusha utume wake, wakawa kwa hilo ni wakanushaji wa Mitume waliosalia, kwa kuwa lile walilolileta la kumpwekesha Mwenyezi Mungu na …