Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:167

26:167
قالوا لين لم تنته يا لوط لتكونن من المخرجين ١٦٧
قَالُوا۟ لَئِن لَّمْ تَنتَهِ يَـٰلُوطُ لَتَكُونَنَّ مِنَ ٱلْمُخْرَجِينَ ١٦٧
قَالُواْ
لَئِن
لَّمۡ
تَنتَهِ
يَٰلُوطُ
لَتَكُونَنَّ
مِنَ
ٱلۡمُخۡرَجِينَ
١٦٧
Wakasema: Ewe Luut'i! Usipo acha, hapana shaka utakuwa miongoni mwa wanao tolewa mji!. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Watu wa Lūṭ wakasema, «Usipoacha, ewe Lūṭ, kutukataza kuwajia wanaume na kukichafua kitendo hicho (cha kuwajia wanaume), utakuwa ni miongoni mwa wenye kufukuzwa kutoka miji yetu.»