Ash-Shuaraa 26:170 فنجيناه واهله اجمعين ١٧٠
فَنَجَّيۡنَٰهُ
وَأَهۡلَهُۥٓ
أَجۡمَعِينَ
١٧٠
Basi tukamwokoa yeye na ahali zake wote,. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi tukamuokoa yeye na watu wa nyumbani kwake na wale wote walioukubali ulinganizi wake,