Ash-Shuaraa 26:171 الا عجوزا في الغابرين ١٧١
إِلَّا
عَجُوزٗا
فِي
ٱلۡغَٰبِرِينَ
١٧١
Isipo kuwa kikongwe katika walio kaa nyuma. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
isipokuwa mkongwe miongoni mwa watu wa nyumbani kwake, naye ni mke wake ambaye hakushirikiana na wao katika kuamini, hivyo basi akawa ni mwenye kusalia kwenye adhabu na maangamivu.
isipokuwa mkongwe miongoni mwa watu wa nyumbani kwake, naye ni mke wake ambaye hakushirikiana na wao katika kuamini, hivyo basi akawa ni mwenye kusali…