Ash-Shuaraa 26:177 اذ قال لهم شعيب الا تتقون ١٧٧
إِذۡ
قَالَ
لَهُمۡ
شُعَيۡبٌ
أَلَا
تَتَّقُونَ
١٧٧
Shuaibu alipo waambia: Je! Hamfanyi mkamchamngu?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Alipowaambia wao Shu’ayb, «Je, hamuogopi kuwa Mwenyezi Mungu Atawatesa kwa ushirikina wenu na kufanya kwenu matendo ya uasi?