Ash-Shuaraa 26:178 اني لكم رسول امين ١٧٨
إِنِّي
لَكُمۡ
رَسُولٌ
أَمِينٞ
١٧٨
Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mimi nimetumilizwa kwenu kutoka kwa Mwenyezi Mungu niwaongoe, ni mtunzi wa kile alichoniletea mimi Mwenyezi Mungu cha wahyi wa utume.