Ash-Shuaraa 26:187 فاسقط علينا كسفا من السماء ان كنت من الصادقين ١٨٧
فَأَسۡقِطۡ
عَلَيۡنَا
كِسَفٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَآءِ
إِن
كُنتَ
مِنَ
ٱلصَّٰدِقِينَ
١٨٧
Hebu tuangushie vipande kutoka mbinguni ikiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Iwapo wewe ni mkweli katika madai yako ya utume, basi muombe Mwenyezi Mungu Atuangushie vipande vya adhabu kutoka mbinguni vitumalize.»