Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
026

Ash-Shuaraa 26:196 وانه لفي زبر الاولين ١٩٦

26:196
وَإِنَّهُۥ
لَفِي
زُبُرِ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٩٦
Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na kwa hakika, utajo wa hii Qur’ani umethibitishwa katika Vitabu vya Manabii waliotangulia, vimeibashiri na kukubali kuwa ni ya kweli.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 26, Ukurasa 375, Juzuu 19

192. Na bila ya shaka hii ni Uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 193. Ameuteremsha Roho muaminifu,. 194. Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji,. 195. Kwa ulimi wa Kiarabu ulio wazi. 196. Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale. 197. Je! Haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanazuoni wa Wana wa Israili?. 198. Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu,. 199. Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini. 200. Namna hivi tunaingiza katika nyoyo za wakosefu. 201. Hawataiamini mpaka waione adhabu chungu. 202. Basi itawafikia kwa ghafla, na hali hawana khabari. 203. Na watasema: Je, tutapewa muhula?. 204. Basi, je, wanaihimiza adhabu yetu?. 205. Waonaje kama tukiwastarehesha kwa miaka,. 206. Kisha yakawafikia waliyo kuwa wakiahidiwa,. 207. Yatawafaa nini yale waliyo stareheshewa?.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia