Ash-Shuaraa 26:202 فياتيهم بغتة وهم لا يشعرون ٢٠٢
فَيَأۡتِيَهُم
بَغۡتَةٗ
وَهُمۡ
لَا
يَشۡعُرُونَ
٢٠٢
Basi itawafikia kwa ghafla, na hali hawana khabari. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo adhabu iwashukie ghafla na hali wao hawajui kuja kwake kabla ya hapo,