Ash-Shuaraa 26:204 افبعذابنا يستعجلون ٢٠٤
أَفَبِعَذَابِنَا
يَسۡتَعۡجِلُونَ
٢٠٤
Basi, je, wanaihimiza adhabu yetu?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, hawa wamedanganyika na kule kuwapa muhula kwangu ndipo wakawa wanataka kuteremka adhabu kwa haraka juu yao kutoka mbinguni?