Ash-Shuaraa 26:208 وما اهلكنا من قرية الا لها منذرون ٢٠٨
وَمَآ
أَهۡلَكۡنَا
مِن
قَرۡيَةٍ
إِلَّا
لَهَا
مُنذِرُونَ
٢٠٨
Wala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hatukuuangamiza mji wowote, miongoni mwa miji katika mataifa yote, isipokuwa baada ya kuwatumiliza Mitume kwao wawaonye,