Ash-Shuaraa 26:209 ذكرى وما كنا ظالمين ٢٠٩
ذِكۡرَىٰ
وَمَا
كُنَّا
ظَٰلِمِينَ
٢٠٩
Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye kudhulumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
ili wawe ni makumbusho kwao na uzindushi wa yale yenye uokofu kwao. Na hatukuwa ni wenye kudhulumu kwa kuwaadhibu watu kabla ya kuwapelekea Mtume.