Ash-Shuaraa 26:210 وما تنزلت به الشياطين ٢١٠
وَمَا
تَنَزَّلَتۡ
بِهِ
ٱلشَّيَٰطِينُ
٢١٠
Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Qur’ani hawakuiteremsha mashetani kwa Muhammad, kama wanavyodai makafiri,