Ash-Shuaraa 26:22 وتلك نعمة تمنها علي ان عبدت بني اسراييل ٢٢
وَتِلۡكَ
نِعۡمَةٞ
تَمُنُّهَا
عَلَيَّ
أَنۡ
عَبَّدتَّ
بَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
٢٢
Na hiyo ndiyo neema ya kunisumbulia, na wewe umewatia utumwani Wana wa Israili? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwani huko kulelewa nyumbani kwako unakuona ni neema kutoka kwako juu yangu, na hali wewe umewafanya Wana wa Isrāīl ni watumwa , unawachinja wana wao wa kiume na unawaachilia wanawake wao ili watumwe na wadharauliwe?»
Na kwani huko kulelewa nyumbani kwako unakuona ni neema kutoka kwako juu yangu, na hali wewe umewafanya Wana wa Isrāīl ni watumwa , unawachinja wana w…