Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
026

Ash-Shuaraa 26:220 انه هو السميع العليم ٢٢٠

26:220
إِنَّهُۥ
هُوَ
ٱلسَّمِيعُ
ٱلۡعَلِيمُ
٢٢٠
Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hakika Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Ndiye Anayesikia kusoma kwako na kumtaja kwako, Ndiye Anayejua nia yako na matendo yako.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 26, Ukurasa 376, Juzuu 19

208. Wala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji. 209. Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye kudhulumu. 210. Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo, 211. Wala haitakiwi kwao, na wala hawawezi. 212. Hakika hao wametengwa na kusikia. 213. Basi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa. 214. Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe. 215. Na watwae kwa upole wanao kufuata miongoni mwa Waumini. 216. Na ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda. 217. Na umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 218. Ambaye anakuona unapo simama, 219. Na mageuko yako kati ya wanao sujudu. 220. Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia