Ash-Shuaraa 26:223 يلقون السمع واكثرهم كاذبون ٢٢٣
يُلۡقُونَ
ٱلسَّمۡعَ
وَأَكۡثَرُهُمۡ
كَٰذِبُونَ
٢٢٣
Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mashetani wanasikiliza kwa kuiba, wanayanyakuwa maneno kutoka sehemu za juu wakawatupia makuhani na wale wanaokuwa na mwenendo wao miongoni mwa watu wenye matendo mabaya. Na wengi wa hawa ni warongo, kwani mmoja wao husema kweli katika neno moja na akaongeza juu yake maneno mia moja ya urongo.
Mashetani wanasikiliza kwa kuiba, wanayanyakuwa maneno kutoka sehemu za juu wakawatupia makuhani na wale wanaokuwa na mwenendo wao miongoni mwa watu w…