Ash-Shuaraa 26:224 والشعراء يتبعهم الغاوون ٢٢٤
وَٱلشُّعَرَآءُ
يَتَّبِعُهُمُ
ٱلۡغَاوُۥنَ
٢٢٤
Na watungaji mashairi ni wapotofu ndio wanawafuata. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na washairi, mashairi yao yanasimama juu ya ubatilifu na urongo, na wanafuatana na wao wapotevu waliopotoka kama wao.