Ash-Shuaraa 26:225 الم تر انهم في كل واد يهيمون ٢٢٥
أَلَمۡ
تَرَ
أَنَّهُمۡ
فِي
كُلِّ
وَادٖ
يَهِيمُونَ
٢٢٥
Je! Huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani huoni, ewe Nabii, kwamba wao wanaenda kama mtu aliyekosa mwelekeo, wanavama ndani ya kila aina ya fani za urongo, uzushi, uvunjaji heshima, kutukana nasaba na kuwataja vibaya wanawake waliojihifadhi,
Kwani huoni, ewe Nabii, kwamba wao wanaenda kama mtu aliyekosa mwelekeo, wanavama ndani ya kila aina ya fani za urongo, uzushi, uvunjaji heshima, kutu…