Ash-Shuaraa 26:226 وانهم يقولون ما لا يفعلون ٢٢٦
وَأَنَّهُمۡ
يَقُولُونَ
مَا
لَا
يَفۡعَلُونَ
٢٢٦
Na kwamba wao husema wasiyo yatenda? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na kwamba wao wanayasema wasiyoyatenda, wanapita mipaka katika kuwasifu watu wa ubatilifu na wanawatia kasoro watu wa haki.