Ash-Shuaraa 26:25 قال لمن حوله الا تستمعون ٢٥
قَالَ
لِمَنۡ
حَوۡلَهُۥٓ
أَلَا
تَسۡتَمِعُونَ
٢٥
(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir’awn akasema kuwaambia walioko pambizoni mwake miongoni mwa watukufu wa watu wake, «Je, hamusikii maneno ya Mūsā ya ajabu kwamba kuna mola asiyekuwa mimi?»
Fir’awn akasema kuwaambia walioko pambizoni mwake miongoni mwa watukufu wa watu wake, «Je, hamusikii maneno ya Mūsā ya ajabu kwamba kuna mola asiyekuw…