Ash-Shuaraa 26:29 قال لين اتخذت الاها غيري لاجعلنك من المسجونين ٢٩
قَالَ
لَئِنِ
ٱتَّخَذۡتَ
إِلَٰهًا
غَيۡرِي
لَأَجۡعَلَنَّكَ
مِنَ
ٱلۡمَسۡجُونِينَ
٢٩
(Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir’awn akamwambia Mūsā kwa kumtisha, «Ukichukua mwingine aseyekuwa mimi ukamfanya ni mola nitakufunga jela pamoja na wale niliowafunga.»