Ash-Shuaraa 26:33 ونزع يده فاذا هي بيضاء للناظرين ٣٣
وَنَزَعَ
يَدَهُۥ
فَإِذَا
هِيَ
بَيۡضَآءُ
لِلنَّٰظِرِينَ
٣٣
Na akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na akautoa mkono wake kwenye uwazi wa kanzu yake uliofunguliwa kifuani au chini ya kwapa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama barafu, na sio weupe wa mbalanga, ukawashangaza waangaliaji.
Na akautoa mkono wake kwenye uwazi wa kanzu yake uliofunguliwa kifuani au chini ya kwapa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama barafu, na sio weupe wa …