Ash-Shuaraa 26:38 فجمع السحرة لميقات يوم معلوم ٣٨
فَجُمِعَ
ٱلسَّحَرَةُ
لِمِيقَٰتِ
يَوۡمٖ
مَّعۡلُومٖ
٣٨
Basi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakakusanywa wachawi, na wakapangiwa wakati maalumu, nao ni wakati wa mchana wa siku ya Pambo ambayo wanajitenga na shughuli zao, na wanajikusanya na kujipamba, ili wakutane na Mūsā
Wakakusanywa wachawi, na wakapangiwa wakati maalumu, nao ni wakati wa mchana wa siku ya Pambo ambayo wanajitenga na shughuli zao, na wanajikusanya na …