Ash-Shuaraa 26:42 قال نعم وانكم اذا لمن المقربين ٤٢
قَالَ
نَعَمۡ
وَإِنَّكُمۡ
إِذٗا
لَّمِنَ
ٱلۡمُقَرَّبِينَ
٤٢
Naam! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Fir’awn akasema, «Ndio, nyinyi mtapata kwangu malipo mnayoyataka, na nyinyi hapo mtakuwa ni miongoni mwa wenye kusogezwa karibu na mimi.»