Ash-Shuaraa 26:46 فالقي السحرة ساجدين ٤٦
فَأُلۡقِيَ
ٱلسَّحَرَةُ
سَٰجِدِينَ
٤٦
Hapo wachawi walipinduka wakasujudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waliposhuhudia hilo na wakajua kuwa halitokani na udanganyifu wa wachawi, walimuamini Mwenyezi Mungu na wakamsujudia