Ash-Shuaraa 26:51 انا نطمع ان يغفر لنا ربنا خطايانا ان كنا اول المومنين ٥١
إِنَّا
نَطۡمَعُ
أَن
يَغۡفِرَ
لَنَا
رَبُّنَا
خَطَٰيَٰنَآ
أَن
كُنَّآ
أَوَّلَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
٥١
Hakika sisi tunatumai Mola wetu Mlezi atatusamehe makosa yetu, kwa kuwa ndio wa kwanza wa kuamini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sisi tunataraji Mola wetu Atusamehe makosa yetu ya ushirikina na mengineyo kwa kuwa sisi ndio Waumini wa mwanzo katika watu wako.»