Ash-Shuaraa 26:59 كذالك واورثناها بني اسراييل ٥٩
كَذَٰلِكَۖ
وَأَوۡرَثۡنَٰهَا
بَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
٥٩
Kadhaalika; na tukawarithisha hayo Wana wa Israili. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kama tulivyowatoa, tuliwapatia nyumba hizo Wana wa Isrāīl baada yao wao.