Ash-Shuaraa 26:61 فلما تراءى الجمعان قال اصحاب موسى انا لمدركون ٦١
فَلَمَّا
تَرَٰٓءَا
ٱلۡجَمۡعَانِ
قَالَ
أَصۡحَٰبُ
مُوسَىٰٓ
إِنَّا
لَمُدۡرَكُونَ
٦١
Na yalipo onana majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumepatikana! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yalipoonana makundi mawili, watu wa Mūsā walisema, «Kwa hakika jumuiko la Fir’awn ni lenye kutufikia na kutuangamiza.»