Ash-Shuaraa 26:63 فاوحينا الى موسى ان اضرب بعصاك البحر فانفلق فكان كل فرق كالطود العظيم ٦٣
فَأَوۡحَيۡنَآ
إِلَىٰ
مُوسَىٰٓ
أَنِ
ٱضۡرِب
بِّعَصَاكَ
ٱلۡبَحۡرَۖ
فَٱنفَلَقَ
فَكَانَ
كُلُّ
فِرۡقٖ
كَٱلطَّوۡدِ
ٱلۡعَظِيمِ
٦٣
Tulimletea wahyi Musa tukamwambia: Piga bahari kwa fimbo yako. Basi ikatengana, na kila sehemu ikawa kama mlima mkubwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo tukampelekea wahyi Mūsā kwamba, «Piga bahari kwa fimbo yako!» Akapiga. Na bahari ikapasuka njia kumi na mbili kwa idadi ya kabila za Wana wa Isrāīl. Na kila kipande kilichojitenga na bahari ni kama jabali kubwa.
Hapo tukampelekea wahyi Mūsā kwamba, «Piga bahari kwa fimbo yako!» Akapiga. Na bahari ikapasuka njia kumi na mbili kwa idadi ya kabila za Wana wa Isrā…