Ash-Shuaraa 26:65 وانجينا موسى ومن معه اجمعين ٦٥
وَأَنجَيۡنَا
مُوسَىٰ
وَمَن
مَّعَهُۥٓ
أَجۡمَعِينَ
٦٥
Tukawaokoa Musa na walio kuwa pamoja naye wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukamuokoa Mūsā na waliokuwa pamoja na yeye wote. Bahari ikaendelea kuachana kwake (kwa ule mpasuko) mpaka wakavuka kwenye nchi kavu.