Ash-Shuaraa 26:73 او ينفعونكم او يضرون ٧٣
أَوۡ
يَنفَعُونَكُمۡ
أَوۡ
يَضُرُّونَ
٧٣
Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au wanawapatia manufaa mkiwaabudu? Au wanawafanya mupate madhara mkiacha kuwaabudu?»