Ash-Shuaraa 26:79 والذي هو يطعمني ويسقين ٧٩
وَٱلَّذِي
هُوَ
يُطۡعِمُنِي
وَيَسۡقِينِ
٧٩
Na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Yeye Ndiye Anayenineemesha kwa chakula na kinywaji.